1
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb. Na EA.7/96/01/G/24 27 Juni, 2014
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Sekretariati
ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa
mujibu wa
Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa
na Sheria Na.
18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo
hiki, pamoja
na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi
zinazotokea
katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma).
Katibu wa
Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya
Watanzania
wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 877 za kazi kwa ajili ya Katibu Mkuu
Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Katibu
Mkuu Wizara ya
Maji, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Naibu
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali, Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Katibu Tawala Mkoa wa
Shinyanga na
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
NB: MASHARITI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji
wote wawe ni Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
ii. Waombaji
wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji
ambao tayari ni watumishi wa Umma na wamejipatia sifa za kuingilia
katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya
nafasi za
kazi kwa waajiri wao na Waajiri wajiridhishe ipasavyo.
iv. Nafasi
ya kazi inayoombwa iandikwe juu ya bahasha, kutozingatiwa hili
kutasababisha maombi ya kazi kuwa batili.
2
v. Waombaji
waambatishe maelezo binafsi yanayojitosheleza (Detailed C.V) yenye
anwani na
namba za simu za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini (referees)
watatu wa
kuaminika.
vi. Maombi
yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya
kidato cha nne
na kidato cha sita kwawale waliofikia kiwango hicho na vyeti vya
kuhitimu
mafunzo mbalimbali kwa kuzingatia sifa za kazi husika. Viambatanisho
hivyo vibanwe
sawa sawa kuondoa uwezekano wa kudondoka kupotea.
- Postgraduate/Degree/Advanced Diploma/Diploma/Certificates.
- Cheti cha mtihani wa kidato cha IV na VI
- Computer Certificate
- Vyeti vya kitaaluma (Professional certificates from respective boards)
- Picha moja “Passport size” ya hivi karibuni iandikwe jina kwa nyuma.
vii. Testmonials”, “Provisional Results”, “Statement of results”, hati
matokeo za
kidato cha nne na sita (FORM IV AND FORM VI
RESULTS SLIPS)
HAVITAKUBALIWA.
viii. Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa
na
kuidhinishwa na Mamlaka husika (TCU na NECTA).
ix. Waombaji
waliostaafishwa katika Utumishi wa Umma hawaruhusiwi kuomba
isipokuwa kama
wanakibali cha Katibu Mkuu Kiongozi.
x. Waombaji
kazi ambao tayari ni waajiriwa katika nafasi za kuingilia walioko
katika utumishi wa umma wasiombe na wanatakiwa kuzingatia maelekezo
yaliyo katika Waraka Na CAC. 45/257/01/D/140 wa tarehe 30 Novemba 2010.
xi. Uwasilishaji
wa taarifa na sifa za kugushi wahusika watachukuliwa hatua za
kisheria.
xii. Mwisho
wa kupokea barua za maombi ni tarehe 11 Julai, 2014
xiii. Aidha,
uwasilishaji wa barua kwa mkono katika ofisi za Sekretarieti ya ajira
HAURUHUSIWI.
xiv. Maombi
yanaweza kuandikwa kwa Lugha ya Kiswahili au Kiingereza na yatumwe
kupitia posta
kwa anuani ifuatayo.
Katibu, AU Secretary,
Sekretariati ya Ajira katika Public Service Recruitment
Utumishi wa Umma, Secretariat,
SLP.63100, P.O.Box 63100
Dar es Salaam. Dar es Salaam.
1.0 MHANDISI KILIMO DARAJA LA II (AGRO – ENGINEERS) –
NAFASI 17
1.1 MAJUKUMU YA KAZI.
· Kuandaa program za mafunzo kwa wakulima kutumia zana
za kilimo,
· Kushiriki katika kufundisha wakulima na matumizi bora
ya zana,
3
· Kushiriki kutengeneza michoro/ramani za umwagiliaji,
· Kushiriki katika ujenzi wa miradi ya umwagiliaji,
· Kushirikiana na mafundi sanifu kuwafunindisha wakulima
uendeshaji wa skimu
za
umwagiliaji,
· Kukusanya takwimu za miradi ya umwagiliaji,
· Kushiriki kuratibu na kutoa huduma za umwagiliaji kwa
vikundi vya umwagiliaji
pamoja na
matumizi ya maji,
· Kuandaa mafunzo/maonyesho ya matumizi ya za za kilimo,
· Kufuatilia program za mafunzo ya wanyama kazi, mafundi
wa matrekta na
wakulima jinsi
ya matumizi ya wanyama na matrekta,
· Kuwafundisha wakulima ujenzi wa vihengo bora na
· Kushughulikia ubora wa zana na kuwashauri waagizaji na
watengenezaji
ipasavyo.
1.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (Bachelor Degree) ya
uhandisi yenye
mwelekeo
mkubwa katika fani ya Kilimo cha umwagiliaji na cha zana kutoka
Chuo Kikuu
kinachotambuliwa na Serikali.
1.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya
Mshahara TGS E Kwa
mwezi.
2.0 AFISA KILIMO DARAJA LA II (AGRO – OFFICERS) – NAFASI
14
Nafasi hii ni
kwa ajili ya Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa, Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya
Wilaya ya Morogoro, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya
Wilaya ya
Sikonge, Mkurugenzi Mtendaji Halamashauri ya Wilaya ya Liwale,
Mkurugenzi
Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya
Wilaya ya Iramba, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya
ya Sumbawanga.
2.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kuthibiti visumbufu vya mazao na mimea,
· Kukusanya takwimu za bei za mazao kila wiki na kila
mwezi,
· Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika
masoko kila wiki/kila mwezi,
· Kuendesha mafunzo ya wataalam wa kilimo,
· Kufanya ukaguzi wa ubora na matumizi ya pembejeo na
zana,
· Ufuatiliaji wa mwenendo wa soko la mazao ya biashara,
· Kuendesha mafunzo juu ya hifadhi bora ya udongo na
maji,
· Kutoa habari juu ya teknolojia mpya kwa wadau,
· Kuandaa/kuandika taarifa za utekelezaji kwa sekta
ndogo ya mazao,
· Kusimamia/kuendeleza taaluma ya uzalishaji mboga,
matunda, maua na mazao
mengine,
· Kusimamia/kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora,
· Kuandaa, kutayarisha kufunga na kusambaza mbegu bora,
4
· Kufanya majaribio ya magonjwa kwenye mbegu,
· Kufanya ukaguzi wa mbegu mpya kwa kushirikiana na
watafiti wa mbegu kabla
ya kupitishwa,
· Kuendesha mafunzo ya kuzalisha mboga, matunda, maua na
viungo,
· Kuhamasisha uzalishaji wa mazao ya bustani,
· Kufanya utafiti mdogo mdogo wa mazao yanayofaa kulimwa
katika sehemu ya
kilimo cha
umwagiliaji,
· Kufanya utafiti wa udongo,
· Kuhamasisha uanzishaji wa vikundi vya
wakulima/wamwagiliaji,
· Kuzalisha mbegu za msingi baada ya kuzalishwa na
watafiti,
· Kuendesha/kusimamaia vishamba vya majaribio vya mbegu
na uchunguzi
maabara ili
kuondoa utata juu ya mbegu.
2.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (bachelor degree) ya
kilimo au shahada ya
sayansi
waliojiimarisha katika mchepuo wa kilimo kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo
Sokoine au
Vyuo vingine vinavyotambuliwa na Serikali.
2.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya
Mshahara TGS D Kwa
mwezi.
3.0 MKUFUNZI KILIMO DARAJA LA II (AQUACULTURE) – NAFASI 3
Nafasi hii ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
3.1 KAZI NA MAJUKUMU
· Kusoma na kuelewa vema mihutasari ya mafunzo na
kuitafsiri kwenye masomo.
· Kuandaa mtiririko na mpangilio wa masomo (lesson
sequences and plans) kwa
upande wa
nadharia na vitendo.
· Kufundisha kozi za Stashahada na Astashahada nadharia
na vitendo.
· Kuandaana kufundisha kozi za Wakulima.
· Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia
wanachuo wakati wa
kujifunza.
· Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa
kipindi chote
kinachohusika
na kutunza alama zao.
· Kupima maendeleo ya wanachuo kwa kushirikiana na
Maofisa Kilimo wa
Wilaya/Viwandani
wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field Practical).
· Kutekeleza shughuli nyingine za kikazi kadri
atakavyopangiwa na Mkuu wake wa
kazi.
3.2 SIFA ZA KUINGILIA MOJA KWA MOJA
5
· Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya AQUACULTURE kutoka
Chuo Kikuu
cha Sokoine
cha Kilimo au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali,
waliohitimu
kozi ya mbinu bora za kufundishia (Teaching Methodology).
3.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS.D kwa mwezi.
4.0 AFISA KILIMO MSAIDIZI DARAJA LA II (AGRICULTURAL FIELD
OFFICERS)
– NAFASI 131
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Mamlaka za Serikali za Mitaa.
4.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya
majaribio,
· Kukusanya/kuhifadhi takwimu za majaribio,
· Kuwafundisha wakulima mbinu za kilimo bora,
· Kuwafikishia wakulima matokeo ya utafiti,
· Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi
ya mbolea na madawa,
pembejeo za
kilimo,
· Kukusanya na kutunza takwimu za mazao na bei kwa wiki
mwezi, robo na
mwaka ngazi ya
halmashauri,
· Kukusanya takwimu za mvua,
· Kushiriki katika savei za kilimo,
· Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo
na teknolojia sahihi za
kutumia,
· Kupanga mipango ya uzalishaji,
· Kupima uotaji wa mbegu na kusimamia taratibu za
ukaguzi,
· Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo,
· Kutoa mafunzo ya lishe kwa wakulima,
· Kufanya vipimo vya ubora, unyevunyevu na uotaji wa
mbegu,
· Kudhibiti visumbufu vya mazao na mimea,
· Kusimamia shughuli za kila siku za majaribio ya
kilimo,
· Kuwaelimisha wakulima juu ya matumizi bora ya udongo
na maji,
· Kutoa ushauri wa kilimo mseto,
· Kuandaa sheria ndogo za hifadhi ya mazingira na
· Kutoa taaluma ya uzalishaji wa mboga, matunda, maua na
viungo.
4.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Sita (VI) wenye
stashahada (Diploma) ya
kilimo kutoka
vyuo vinavyotambuliwa na Serikali.
6
4.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaani ngazi ya
Mshahara TGS B Kwa
mwezi.
4.4 DAKTARI WA MIFUGO DARAJA LA II (VETERINARY OFFICERS) – NAFASI 14
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,
Katibu Tawala
Mkoa wa Shinyanga, Mkurugenzi wa Jiji Halmashauri ya Jiji la Tanga,
Mkurugenzi wa
Mji Halmashauri ya Wilaya ya Korogwe, Katibu Tawala Mkoa wa
Dodoma, Katibu
Tawala Mkoa wa Kilimanjaro, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya
Wilaya ya
Nyangw’ale, Katibu Tawala Mkoa wa Dar es Salaam, Mkurugenzi
Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya
Wilaya ya
Sikonge.
4.5 MAJUKUMU YA KAZI
· Kutoa huduma za afya ya mifugo
· Kufanya uchunguzi wa magonjwa ya mifugo katika eneo au
sehemu alipo.
· Kutayarisha na kusimamia mipango ya kuzuia, kudhibiti
na kutokomeza
magonjwa ya
mifugo katika eneo lake.
· Kushiriki katika uchunguzi wa magonjwa ya wanyama pori
katika eneo lake.
4.6 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza (bachelor degree) ya
Tiba ya Mifugo
kutoka Chuo
Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au Chuo kingine kinachotambuliwa
na Serikali na
wawe wamesajiliwa na Bodi ya Madaktari wa Mifugo nchini.
4.7 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS E
kwa mwezi.
5.0 DAKTARI UTAFITI MIFUGO DARAJA LA II (VETERINARY
RESEARCH OFFICER II)
– NAFASI 7
Nafasi hizi ni
Kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi na
Mkurugenzi
Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Songea.
5.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kujifunza na kumudu mbinu na taratibu za utafiti wa
afya na maradhi ya mifugo
· Kuweka kumbukumbu za utafiti
· Kusaidia kuendesha semina na maonyesho ya ufugaji
bora.
· Kuandaa mapendekezo ya utafiti (“research proposal”)
kwa kushirikiana na
Daktari
Utafiti Mifugo anayemsimamia.
· Kufanya utafiti chini ya usimamizi wa Daktari Utafiti
Mwandamizi
· Kukusanya na kuchambua takwimu za utafiti unaoendelea.
· Kuchapisha taarifa na makala za utafiti
7
· Kuendesha semina na maonyesho ya ufugaji bora.
5.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza (bachelor degree)
katika fani ya Sayansi
ya Tiba ya
Mifugo (“Veterinary Science) kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha
Kilimo au chuo
kingine kinachotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na
Bodi ya
Madaktari wa Mifugo nchini.
5.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
Ngazi za mishahara ya Serikali TGS E kwa mwezi.
6.0 DAKTARI MIFUGO MKUFUNZI DARAJA LA II (VETERINARY TUTOR
II) – NAFASI 1
Nafasi hii ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
6.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kutafsiri mihutasari ya mafunzo kwenye masomo
· Kuandaa mtiririko wa kila somo (lesson plan) kwa
upande wa nadharia na
vitendo
· Kufundisha kozi za stashahada na astashahada kwa
upande wa nadharia na
vitendo.
· Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia
wanachuo wakati wa
kujifunza
· Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa
kipindi chote
kinachohusika
na kutunza alama zao.
· Kupima maendeleo ya wanachuo kwa kushirikiana na
madaktari /maofisa mifugo
wa wilaya,
wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field Practicals).
· Kufanya kazi nyingine zozote kadri atakavyopangiwa na
mkuu wake wa kazi.
6.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Tiba
ya Mifugo kutoka Chuo
Kikuu cha
Sokoine cha Kilimo au chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.
Wawe
wamesajiliwa na Bodi ya Madaktari Tanzania.
6.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS E
kwa mwezi
7.0 MKUFUNZI MIFUGO DARAJA II (ANIMAL SCIENCE) – NAFASI 3
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
7.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kutafsiri mihutasari ya mafunzo kwenye masomo.
· Kuandaa mtiririko wa kila somo (Lesson Plan) kwa
upande wa nadharia na
vitendo.
8
· Kufundisha kozi za stashahada na astashahada kwa
upande wa nadharia na
vitendo.
· Kuandaa na kupanga somo la vitendo na kusimamia
wanachuo wakati wa
kujifunza.
· Kupima maendeleo ya wanachuo kwenye mitihani kwa
kipindi chote
kinachohusika
na kutunza alama zao.
· Kupima maendelo ya wanachuo kwa kushirikiana na
maofisa mifugo wa wilaya,
viwandani
wakati wa mafunzo kwa vitendo.
· Kufanya kazinyingine zozote za fani yake
atakavyopangiwa na mkuu wake wa
kazi.
7.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (bachelor degree) ya
Sayansi ya Mifugo
kutoka Chuo
Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au chuo kingine kinachotambuliwa na
Serikali.
7.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
Ngazi za mishahara ya Serikali TGS D kwa mwezi.
8.0 AFISA MIFUGO DARAJA LA II (LIVE STOCK OFFICER II) –
NAFASI 5
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi,
Msajili Bodi
ya Nyama Tanzania, Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya Wilaya ya
Nkasi,
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, Mkurugenzi
Mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge.
8.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Atabuni mipango ya uzalishaji mifugo wilayani.
· Ataratibu uzalishaji wa mifugo katika mashamba makubwa
ya mifugo.
· Atasaidia kuratibu mipango ya ugani kuhusiana na
uzalishaji wa mifugo wilayani.
· Ataratibu na kuendesha mafunzo ya ufugaji bora,
usindikaji wa mazao ya mifugo
kwa wataam wa
mifugo na wafugaji.
· Atafanya mapitio na marekebisho ya miundo ya masoko ya
mifugo wilayani
kwake na
mkoani.
· Atabuni, kuanzisha na kutekeleza miradi ya maendeleo
ya mifugo wilayani.
· Atafanya soroveya ya rasilimali (resource survey) kama
vile mifugo, vyakula vya
mifugo,
malisho n.k. katika eneo lake la kazi.
· Ataendesha mafunzo kwa Mawakala, wauzaji na wataalam
juu ya njia salama
katika kuweka
na kusambaza pembejeo za mifugo.
· Atatafiti maeneo mapya yanayofaa kwa ufugaji wa mifugo
mbalimbali
· Atafanya utafiti juu ya uharibifu wa mazingira katika
wilaya.
· Atashiriki katika shughuli za kudhibiti milipuko ya
wanyama/viumbe waharibifu wa
malisho.
9
· Ataandaa taarifa ya jumla juu ya maendeleo ya mifugo.
· Atafuatilia, kuweka, kuchambua na kutafsiri takwimu za
uzalishaji wa mifugo.
· Atafanya kazi nyingine zinazohusiana na fani yake kama
atakavyoelekezwa na
mkuu wake wa
kazi.
8.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (bachelor degree) ya
sayansi ya Mifugo
(Animal
Science) kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali au sifa
inayolingana
nayo.
8.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS D
kwa mwezi
9.0 AFISA UTAFITI MIFUGO DARAJA LA II (LIVESTOCK RESEARCH OFFICER
II) –
NAFASI 8
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi.
9.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kujifunza kumudu mbinu na taratibu za utafiti wa
mifugo/ndorobo
· Kufanya utafiti chini ya usimamizi wa Afisa Utafiti
Mwandamizi.
· Kuandika na Kuweka kumbukumbu za utafiti.
· Kusaidia kuendesha semina na maonyesho ya ufugaji
bora.
· Kuandaa mapendekezo ya utafiti (Research Proposals)
kwa kushirikiana na
Afisa Utafiti
Mifugo anayesimamia.
· Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na mkuu wake
wa kazi.
9.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza (bachelor degree) ya
Sayansi ya Mifugo
kutoka Chuo
Kikuu cha Sokoine cha Kilimo au Chuo kingine kinachotambuliwa
na Serikali.
9.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali TGS D
kwa mwezi.
10.0 AFISA UTUMISHI DARAJA LA II (HUMAN RESOURCES OFFICER
GRADE II)
– NAFASI 101
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Wizara, Mikoa na Halmashauri za Wilaya.
10.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kutunza Kumbukumbu sahihi za watumishi wote katika
Wizara, Mikoa, Wilaya na
Idara
zinazojitegemea kulingana na mahali alipo.
10
· Kutafsiri na kushughulikia utekelezaji wa miundo ya
utumishi.
· Kutafiti, kuchanganua na kukadiria idadi ya watumishi
wanaohitaji mafunzo.
· Kuandaa na kupanga mipango ya mafunzo ya muda mfupi na
mrefu.
· Kukadiria na kupanga mahitaji ya vifaa vya mafunzo kwa
kushirikiana na vyuo
vilivyopo
chini ya sekta zinazohusika.
· Kukusanya, kuchambua na kupanga takwimu na kumbukumbu
zote zinazohusu
mipango ya
watumishi.
10.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi Jamii au
Sanaa kutoka katika
Vyuo Vikuu
vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (major) katika
mojawapo ya
fani zifuatazo:-
· Menejimenti ya Raslimali Watu (Human Resources
Management).
· Elimu ya Jamii (Sociologly).
· Utawala na Uongozi (Public Administration).
· Mipango ya Watumishi (Manpower Planning).
· Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta
10.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
D kwa mwezi.
11.0 AFISA ARDHI MSAIDIZI – NAFASI 1
Nafasi hii ni
kwa ajili ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Iringa.
11.1 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha Nne au Kidato cha
Sita, waliofuzu mafunzo ya
miaka miwili
ya Umiliki Ardhi na Uthamini kutoka Vyuo vya Ardhi au Vyuo Vikuu
vingine
vinavyotambuliwa na Serikali.
11.2 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani
TGS C Tsh: 201,870/= na
kuendelea hadi
Tsh: 250,930/= kwa mwezi.
11.3 MAJUKUMU YA KAZI
· Kuingiza kumbukumbu katika kompyuta
· Kutoa ushauri kwa wateja.
· Kupokea, kukagua na kusambaza majalada kwa maafisa kwa
utekelezaji.
· Kusaidia Maafisa Ardhi katika ukaguzi na kuchukua
kumbukumbu, picha taarifa,
vipimo vya
majumba na michoro.
· Kujumuisha na kuandaa taarifa za ukaguzi.
· Kuandaa rasimu za Hati na uingizaji wa plani ya Hati
(deed plan)
11
· Kuagiza plani za Hati (Deed Plan)
12.0 DEREVA DARAJA LA II (DRIVER II) – NAFASI 3
Nafasi hizi ni
kwa ajili yaMkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Iringa na
Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
12.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kuendesha magari ya abiria, magari madogo na malori
· Kuhakikisha gari na vyombo vyake vipo katika hali
nzuri wakati wote, na kufanya
uchunguzi wa
gari kabla na baada ya safari ili kugundua ubovu unaohitaji
matengenezo,
· Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari,
· Kutunza na kuandika daftari la safari “Log-book” kwa
safari zote.
12.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Cheti cha Mtihani wa Kidato cha IV,
Wenye Leseni daraja la “C”
ya uendeshaji
pamoja na uzoefu wa kuendesha magari kwa muda usiopungua
miaka mitatu
bila kusababisha ajali na wenye Cheti cha Majaribio ya ufundi
Daraja la II
(Trade test II).
12.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGOS.A kwa mwezi.
13.0 AFISA UTALII DARAJA LA II – NAFASI 1
Nafasi hii ni
kwa ajili ya Katibu Tawala Mkoa wa Arusha.
13.1 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada/stashahada ya juu katika fani
ya Utalii kutoka katika
vyuo
vinavyotambuliwa na Serikali.
13.2 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
D
13.3 MAJUKUMU YA KAZI
· Kukusanya taarifa za maeneo mapya yenye vivutio vya
utalii kwa kushirikiana na
wadau wote.
· Kutoa Leseni za utalii kwa mahoteli na wakala wa
utalii.
· Kukusanya na kuweka takwimu za watalii na safari za
kitalii.
· Kutafuta na kupanga nafasi za masomo ya utalii ndani
na nje ya nchi.
12
· Kujibu malalamiko kutoka kwa watalii.
· Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wadau katika uendeshaji
wa Biashara ya utalii.
· Kuandaa kaguzi mbalimbali za Wakala wa utalii.
· Kuchambua miradi ya wakala wa utalii na hoteli.
· Kukagua hoteli, loji na migahawa.
· Kujibu na kufatilia malalamiko yanayoletwa na watalii.
· Kutoa ushauri wa kitaalam kwa wakala wa utalii.
· Kukusanya taarifa za maeneo mapya yenye vivutio vya
utalii kwa kushirikiana na
Washika dau
wote.
· Kukusanya takwimu za watalii kwenye sehemu/vituo
nchini vya kuingilia/kutoa
wageni.
· Kutunza kumbukumbu za vitabu/majalada ya Maktaba ya
Utalii.
· Kutayarisha taarifa ya kila mwezi ya takwimu za
watalii waliongia nchini na
mapato
yaliyopatikana.
· Kufanya tafiti ngo “Survey” kwenye Hifadhi za Taifa na
maeneo tengefu ili kupata
idadi kamili
ya Hoteli au Loji zinazotoa huduma kwa watalii.
· Kufuatilia kwa karibu na kushirikiana na VETA juu ya
maendeleo ya vyuo
vinavyotoa
mafunzo ya utalii nchini.
· Kuratibu miradi yote inayohusiana na utoaji wa mafunzo
ya utalii.
· Kutayarisha ripoti za mwezi, robo mwaka, na za mwaka
mzima.
· Kufuatilia kwa karibu maendeleo ya Sekta kwa kufanya
suervey.
· Kuitisha mikutano ya Tourism Facilitation Committee.
· Kutayarisha ripoti na kusambaza kwa wajumbe na
kukufuatilia utekelezaji wa
maazimio.
· Kupitia miongozo inayohusu “Tourism Facilitation
Committee”.
· Kuratibu shughuli za kubuni vivutio vya utalii na
mienendo mipya ya kuendeleza
utalii.
· Kutayarisha kuhakiki vivutio vya utalii nchini.
· Kuitisha mikutano/semina za uhamasishaji kuhusu
uendelezaji utalii.
· Kushiriki katika kupitia ripoti za EIA kuhusu miradi
ya utalii.
· Kushirikiana na Mashirika/taasisi mbalimali za
mazingira katika shughuli
zihusuzo
utalii na mazingira.
· Kukusanya rasilimali za uendeshaji katika vyanzo vya
ndani na nje.
14.0 AFISA USHIRIKA DARAJA LA II (COOPERATIVE OFFICER GRADE
II) –
NAFASI 1
Nafasi hii ni
kwa ajili ya Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga.
14.1 MAJUKUMU YA KAZI
13
· Kukagua vyama vya Ushirika vya Msingi vinavyoendesha
miradi ya pamoja (
Jointy Venture
)
· Kuhamasisha uanzishaji wa vyama vya Ushirika vya
Msingi.
· Kukusanya na kuchambua takwimu zinazohusu Masoko
katika Mkoa.
· Kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa Vyama vya Ushirika
vya Msingi
· Kuratibu/kushiriki katika Elimu ya Ushirika Shirikishi
katika vyama vya ushirika
vya Msingi.
14.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza au Stashahada ya Juu
(Advanced
Diploma)
katika fani ya Ushirika (Cooperative management and accounting)
kutoka vyuo
vinavyotambulika na Serikali.
14.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS D kwa mwezi.
15.0 AFISA SERIKALI ZA MITAA II (LOCAL GOVERNMENT OFFICER
GRADE II) –
NAFASI 1
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga.
15.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kutoa ushauri katika utekelezaji wa Sheria za Serikali
za Mitaa
· Kutoa ushauri juu ya uanzishaji na uendeshaji wa
mamlaka mpya Serikali za
Mitaa
· Kutoa ushauri juu ya makadirio ya mapato ya mapato na
matumizi ya Seriakali
za Mitaa
· Kusimamia na kushauri juu ya matumizi bora ya matumizi
bora ya fedha
Seriakali za
Mitaa
· Kutayarisha taarifa za robo mwaka na mwaka zinazohusu
mwenendo wa Serikali
za Mitaa
· Kufanya kazi nyingine zitakazoagiwa na Watendaji,
Wasimamizi wa masuala ya
Serikali za
Mitaa
15.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sanaa
(/Management &
Administration),
Sheria (LLB) toka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam au chuo
chochote
kinachotambuliwa na Serikali AU
14
· Kuajiriwa wenye Stashahada ya juu katika fani ya
Serikali za Mitaa au Utawala
(Local
Government Administration or Public Administration) toka Chuo chochote
kinachotambuliwa
na Serikali.
15.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS D kwa
mwezi.
16.0 MHANDISI II UFUNDI (MECHANICAL ENGINEER) – NAFASI 5
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
16.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi
aliyesajiliwa na bodi ya usajili wa
Wahandisi kama
Professional Engineer ili kupata uzofu unaotakiwa.
· Kufanya kazi kwa vitendo katika fani ya Mekanika ili
kumwezesha kupata sifa za
kutosha
kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi.
· Kukusanya taarifa na takwimu kuhusu magari na mitambo
mbalimbali, bei za magari na
mitambo na
vifaa vya umeme ndani na nje ya nchi.
· Kupitia mapendekezo ya miradi (project proposals)
mbalimbali ya Ufundi .
16.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwawenye Shahada/Stashahada ya juu ya Uhandisi
(Mechanical Engineering)
kutoka vyuo vikuu
vinavyotambulika na Serikali.
16.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
E kwa mwezi.
17.0 MHANDISI II - HAIDROJIOLOJIA (HYDROGEOLOGISTS) –
NAFASI 4
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
17.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kukusanya takwimu, kutafiti pamoja na kutayarisha
taarifa za kihaidrojiolojia zenye
maelezo fasaha
ya kitaalamu.
· Kujenga (installation) na kukarabati vifaa vya utafiti
wa maji chini ya ardhi na kukarabati
vituo vya
kuratibu rasilimali za maji chini ya ardhi.
· Kusimamia uchumbaji wa visima vya maji na kuhakiki
uwezo wa kisima kutoa maji
(pumping test)
· Kukusanya sampuli za maji na udongo kwa ajili kufanya
uchunguzi wa kimaabara
· Kutathimini (monitoring) rasilimali za maji chini ya
ardhi kwenye sehemu ya kidao cha
maji (sub
–catchment).
15
17.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye shahada ya Jiolojia au Jiofizikia na
Haidrojiolojia kutoka Vyuo Vikuu
vinavyotambuliwa
na Serikali.wawe na ujuzi wa kutumia Kompyuta.
17.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
E kwa mwezi.
18.0 MHANDISI DARAJA LA II (MAJI) – WATER RESOURCE ENGINEER
–
NAFASI 50
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
18.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kushughulikia upembuzi yakinifu, usanifu wa ujenzi,
uendeshaji na matengenezo ya
miundombinu
midogo midogo ya usambazaji maji na kushiriki shughuli za upembuzi
yakinifu,
usanifu, ujenzi, uendeshaji na matengenezo ya miundombinu mikubwa ya
ujenzi wa
usambazaji maji na usafi wa mazingira.
· Kufanyia mapitio taarifa za upembuzi yakinifu na
sanifu za ujenzi wa miundombinu ya
miradi ya
usambazaji maji na usafi wa mazingira.
· Kufanyia ukaguzi wa utekelezaji wa ujenzi, uendeshaji
na utengenezaji wa
miundombinu ya
uzalishaji na usambazaji maji na usafi wa mazingira kwa ajili ya
kupata ubora
unaokusudiwa.
· Kushiriki katika kazi ya kupendekeza miradi na kupitia
mapendekezo ya miradi (project
proposal) ya
usambazaji maji na usafi wa mazingira.
· Kufanya uchunguzi kuhusu uharibifu wa miundombinu au
ajali zinazojitokeza wakati wa
utekelezaji wa
miradi ya maji na usafi wa mazingira.
· Kutayarisha bajeti ya utekelezaji wa shughuli za sekta
za maji.
· Kusimamia kuratibu na kufuatilia utekelezaji wa
ujenzi, uendeshaji na mategenezo ya
miundombinu ya
miradi ya maji na usafi wa mazingira.
· Kukusanya na kutayarisha taarifa mbalimbali za
utekelezaji wa shughuli za sekta ya
maji kwa ajili
ya matumizi ya sekta na kwa ajili ya kujisajili katika bodi ya Wahandisi.
18.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu ya uhandisi
wa Maji (Water Resource
Engineering)
kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
18.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
E kwa mwezi.
19.0 MHANDISI DARAJA LA II (MAJI) – WATER RESOURCE WITH GIS
ENGINEER –
NAFASI 5
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
16
19.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kushughulikia upembuzi yakinifu, usanifu wa ujenzi,
uendeshaji na matengenezo ya
miundombinu
midogo midogo ya usambazaji maji na kushiriki shughuli za upembuzi
yakinifu, usanifu,
ujenzi, uendeshaji na matengenezo ya miundombinu mikubwa ya
ujenzi wa
usambazaji maji na usafi wa mazingira.
· Kufanyia mapitio taarifa za upembuzi yakinifu na
sanifu za ujenzi wa miundombinu ya
miradi ya
usambazaji maji na usafi wa mazingira.
· Kufanyia ukaguzi wa utekelezaji wa ujenzi, uendeshaji
na utengenezaji wa
miundombinu ya
uzalishaji na usambazaji maji na usafi wa mazingira kwa ajili ya
kupata ubora
unaokusudiwa.
· Kushiriki katika kazi ya kupendekeza miradi na kupitia
mapendekezo ya miradi (project
proposal) ya
usambazaji maji na usafi wa mazingira.
· Kufanya uchunguzi kuhusu uharibifu wa miundombinu au
ajali zinazojitokeza wakati wa
utekelezaji wa
miradi ya maji na usafi wa mazingira.
· Kutayarisha bajeti ya utekelezaji wa shughuli za sekta
za maji.
· Kusimamia kuratibu na kufuatilia utekelezaji wa
ujenzi, uendeshaji na mategenezo ya
miundombinu ya
miradi ya maji na usafi wa mazingira.
· Kukusanya na kutayarisha taarifa mbalimbali za
utekelezaji wa shughuli za sekta ya
maji kwa ajili
ya matumizi ya sekta na kwa ajili ya kujisajili katika bodi ya Wahandisi.
19.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya juu ya uhandisi
wa Maji (Water Resource with
GIS) kutoka
vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.
19.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
E kwa mwezi.
20.0 MHANDISI DARAJA LA II (UMEME) – NAFASI 5
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
20.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kufanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi
aliyesajiliwa na bodi ya Usajili wa
Wahandisi kama
“Proffesional Engineers” ili kupata uzoefu unaotakiwa.
· Kufanya kazi za vitendo katika fani zinazomhusu ili
kumwezesha Mhandisi kupata sifa
za kutosha
kusajiliwa na Bodi ya Usajili wa Wahandisi.
· Kukusanya taarifa za Magari na Mitambo mbalimbali,
kuhusu vifaa vya Umeme ndani
na nje ya
nchi.
· Kupitia mapendekezo ya miradi (Project proposals.)
mbalimbali za Ufundi na Umeme.
20.2 SIFA ZA MWOMBAJI
17
· Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Uhandisi
kutoka Vyuo Vikuu
vinavyotambuliwa
na Serikali katika mojwapo ya fani ya Umeme (Electrical
Engineering).
20.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
E kwa mwezi.
21.0 MHANDISI II MAZINGIRA (ENVIRONMENTAL ENGINEER II) –
NAFASI 5
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
21.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kutoa ushauri wa namna ya kulinda mazingira kutokana
na shughuli za Binadamu
kama
Kilimo,uvuvi,ufugaji nk
· Kufanya Tathimini ya Mazingira (Environmental Impact
Assesment) kwa miradi
inayoanzishwa
hasa ya Umwagiliaji na Uwekezaji katika Kilimo
· Kutoa ushauri wa namna ya kupunguza uharibifu wa
Udongo utokanao na kemikali za
madawa ya
Kilimo, Pembejeo za Kilimo au Kemikali zingine za Viwandani zihusianazo
na kilimo.
· Kubuni vifaa na mikakati ya kuhakikisha kuwa maji taka
na uchafu utokanao na kemikali
zitokazo na
Kilimo haziathiri Mazingira.
· Kubuni mikakati itakayohakikisha kuwa Binadamu anaishi
katika mazingira yenye Afya
na Rafiki
kimazingira.
21.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Stashahada ya juu au Shahada ya
Uhandisi Mazingira kutoka Vyuo
Vikuu au
Taasisi nyingine zinazotambuliwa na Serikali. Wawe na ujuzi wa kutumia
compyuta.
21.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
E kwa mwezi.
22.0 FUNDI SANIFU DARAJA LA II – UFUNDI (TECHNICIAN GRADE
II MECHANICS) –
NAFASI 25
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
22.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kufanya ukaguzi wa ubora wa magari ya Serikali na
kurekebisha ipasavyo.
· Kufanya upimaji wa Mitambo kufuatana na Maelekezo ya
Mhandisi.
· Kufanya kazi za kutengeneza mitambo na magari.
· Kufanya usanifu wa miradi midogo midogo ya ufundi.
18
· Kusimamia jinsi ya kufunga mashine mpya zinazowekwa
kwenye karakana za ufundi.
22.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi
ya miaka miwili kutoka Chuo
kinachotambuliwa
na Serikali katika moja ya fani za ufundi.
Au
· Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya
miaka mitatu kutoka Vyuo vya
Ufundi
vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za ufundi,
Au
· Wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi hatua ya I kutoka
Chuo cha Ufundi
kinachotambuliwa
na Serikali,
Au
· Wenye Stashahada ya Kawaida katika fani za ufundi
kutoka Chuo kinachotambuliwa na
Serikali.
22.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
C kwa mwezi.
23.0 FUNDI SANIFU DARAJA LA II - UMEME (TECHNICIAN GRADE II
ELECTRICAL) –
NAFASI 25
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
23.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kufanya ukaguzi wa ubora wa mitambo ya Serikali na
kurekebisha ipasavyo.
· Kufanya upimaji wa Mitambo na Umeme kufuatana na
Maelekezo ya Mhandisi.
· Kufanya kazi za kutengeneza mitambo na vifaa vya Umeme
· Kufanya usanifu wa miradi midogo midogo ya umeme
· Kusimamia jinsi ya kufunga mashine mpya zinazowekwa
kwenye karakana za ufundi na
Umeme.
23.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Waliohitimu kidato cha VI na kufuzu mafunzo ya ufundi
ya miaka miwili kutoka Chuo
kinachotambuliwa
na Serikali katika moja ya fani za ufundi umeme.
Au
· Waliohitimu kidato cha IV na kufuzu kozi ya ufundi ya
miaka mitatu kutoka Vyuo vya
Ufundi
vinavyotambuliwa na Serikali katika mojawapo ya fani za ufundi umeme,
Au
· Wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi hatua ya I kutoka
Chuo cha Ufundi
kinachotambuliwa
na Serikali,
Au
· Wenye Stashahada ya Kawaida katika fani za ufundi
umeme kutoka Chuo
kinachotambuliwa
na Serikali.
19
23.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
C kwa mwezi.
24.0 FUNDI SANIFU – (WATER WORKS TECHNICIAN) DARAJA II –
NAFASI 124
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
24.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kumsaidia Fundi Sanifu Daraja I katika kazi ili
kuapata uzoefu wa;
· Kutafsiri ramani za ujenzi wa miundombinu ya maji au
ya ufungaji wa mitambo ya miradi
ya maji
· Kujenga miundombinu ya aina mbalimbali au kufunga mitambo
ya miradi ya maji na
usafi wa
mazingira;
· Kufanya matengenezo ya kawaida ya vipindi na ya kuzuia
uharibifu wa miundo mbinu
kwa kufuata
ratiba na inapohitajika kwa dharura;
· Kusimamia ukusanyaji na utunzaji wa takwimu za
uendeshaji na matengenezo ya
miundo mbinu
au mitambo ya miradi ya maji;
· Kuwaongoza mafundi sanifu wasaidzi kutekeleza kazi zao
· Kutoa taarifa za utekelezaji wa miradi kwa Mhandisi
24.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Awe na Cheti cha Stashahada ya Maji (Water Works
Technician) toka Chuo cha Maji au
Chuo chochote
kinachotambuliwa na Serikali.
24.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
C kwa mwezi.
25.0 FUNDI SANIFU MAABARA – (WATER LABORATORY TECHNICIAN)
DARAJA II –
NAFASI 25
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
25.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kumsaidia Fundi Sanifu Daraja I katika kazi ili
kuapata uzoefu wa;
· Kutafsiri maelezo ya matumizi ya madawa mbalimbali kwa
kwa ajili ya kazi mbalimbali
za maabara
· Kusimamia uchukuaji wa sampuli za maji na udongo kwa
ajili ya upimaji
· Kufanya na kusimamia matengenezo ya vifaa vya maabara
ya kawaida na ya dharura
yanapohitajika;
· Kufanya upimaji wa maji na udongo wa maeneo ya miradi
na kuandaa maelekezo ya
matibabu
yanayohitajika.
20
· Kusimamia ukusanyaji wa takwimu za hali ya maji na
udongo zinazohitajika kwenye
maeneo ya
miradi
· Kuwaongoza mafundi sanifu wasaidzi kutekeleza kazi zao
· Kutoa taarifa za hali ya maji na udongo wa maeneo ya
miradi kwa Mhandisi.
25.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Awe na Cheti cha Stashahada ya Maji (Water Laboratory)
toka Chuo cha Maji au Chuo
chochote
kinachotambuliwa na Serikali.
25.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
C kwa mwezi.
26.0 FUNDI SANIFU DARAJA LA II - MAJI - (TECHNICIAN GRADE
II - WATER) –
NAFASI 1
Nafasi hii ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
26.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Ukusanyaji na ukaguaji wa takwimu za maji
· Kutunza takwimu za maji
· Kuingiza takwimu za maji kwenye fomu Na: H: 12 tayari
kwa kutumiwa kwenye
michoro
· Kuchora hydrograph za maji
· Utengenezaji visima vya rekoda, stendi za winchi,
sinia za maji ‘cable way post”
n.k.
· Kufanya matengenezo ya vifaa vyote vya kupimia maji na
hali ya hewa
· Kuingiza takwimu kwenye kompyuta
· Kufundisha wasoma vipimo
26.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa Wahitimu wa vyuo vya ufundi vinavyotambuliwa
na Serikali ambao
wana cheti cha
ufundi ( FTC) au Stashahada ya Rasilimali za Maji na wenye
ujuzi wa
kutumia kompyuta.
26.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
C kwa mwezi.
27.0 FUNDI SANIFU MSAIDIZI (UFUNDI BOMBA) - (ASSISTANT
WATER WORKS
TECHNICIAN PLUMBING) – NAFASI 36
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
21
27.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kufanya kazi kwa kuongozwa na chini ya uangalizi wa
Fundi Sanifu aliyesajiliwa ili
aweze;
· Kufunga mitandao ya bomba za aina mbalimbali ya miradi
ya maji na usafi wa
mazingira;
· Kufanya usafi na ukaguzi wa mitandao ya bomba ya
miradi ya maji na usafi wa
mazingira kwa
ajili ya kukidhi uendeshaji nadhifu, endelevu na kuzuia uharibifu;
· Kuwezesha uzalishaji na usambazaji wa maji na utoaji
wa majitaka kwa kupitia
mitandao ya
bomba za miradi ya maji na usafi wa mazingira.
· Kufanya matengenezo ya kawaida ya vipindi nay a kuzuia
uharibifu wa mitandao ya
bomba kwa
kufuata ratiba na inapohitajika kwa dharura.
· Kunakili, kutayarisha, kukusanya, kutunza na
kuziwasilisha takwimu za uendeshaji na
matengenezo ya
mitandao ya bomba za miradi ya maji na usafi wa mazingira;
· Kumsaidia Fundisanifu kazi za kiufundi.
27.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliohudhuria na
kufaulu mafunzo ya mwaka
mmoja kutoka
Chuo cha Maji au Chuo chochote kinachitambuliwa na Serikali ambao
wana Cheti cha
ufundi Daraja III (Plumbing).
27.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
A kwa mwezi.
28.0 FUNDI SANIFU MSAIDIZI (UPIMAJI ARDHI) - (ASSISTANT
WATER WORKS
TECHNICIAN GEOMETRIC) – NAFASI 25
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
28.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kufanya kazi kwa kuongozwa na chini ya uangalizi wa
Fundi Sanifu aoyesajiliwa ili
aweze;
· Kushirikiana na Wahandisi wa Maji na kuwaongoza
walengwa katika kuchagua njia za
kupitisha
bomba kwa ajili ya miradi ya maji na usafi wa mazingira;
· Kupima hali ya kijiografia ya maeneo ya inayokusudiwa
kujengwa au yenye miradi ya
maji na usafi
wa mazingira ili kuwezesha usanifu wa miundo mbinu miradi;
· Kupima uwekaji wa vifaa vya miundo mbinu kwenye ardhi
wakati wa ujenzi wa miradi ya
maji na usafi
wa mazingira;
· Kunakili na kutunza taarifa za upimaji wa ardhi kwa
ajili ya miundo mbinu ya miradi ya
maji na usafi
wa mazingira kwa namna inayokubalika kwa mchoraji wa ramani za
usanifu wa
miradi kufanya kazi yake kwa unadhifu;kuchora ramani za maeneo ya
miradi ya maji
na usafi wa mazingira kwa namna zote zinazokubalika kwa ajili ya
kuwezesha
usanifu wa miundo mbinu ya maji na usafi wa mazingira;
22
· Kumsaidia Fundi Sanifu katika kazi za upimaji ardhi.
28.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliohudhuria na
kufaulu mafunzo ya mwaka
mmoja kutoka Chuo
cha Maji au Chuo chochote kinachitambuliwa na Serikali ambao
wana Cheti cha
ufundi Daraja III (Water Works Technician Geometric).
28.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
A kwa mwezi.
29.0 FUNDI SANIFU MSAIDIZI MITAMBO YA MAJI (PAMPU) – NAFASI
25
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
29.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Atafanya kazi kwa kuongozwa na chini ya uangalizi wa
Fundi Sanifu aliyesajiliwa ili
aweze;
· Kufunga pampu na injini za aina mbalimbali za miradi
ya maji na usafi wa mazingira;
· Kufanya usafi na ukaguzi wa pampu na injini za miradi
ya maji na usafi wa mazingira
kwa ajili ya
kukidhi uendeshaji nadhifu, endelevu na kuzuia uharibifu;
· Kuhudumia uendeshaji wa pampu na injini za miradi ya
maji;
· Kufanya matengenezo ya kawaida, ya vipindi na ya
kuzuia uharibifu wa pampu na injini
kwa kufuata
miongozo ya uendeshaji na matengenezo na inapohitajika kwa dharura;
· Kunakiri, kutayarisha, kukusanya, kutunza na
kuziwasilisha takwimu za uendeshaji na
matengenezo ya
pampu na injini za miradi ya maji;
· Kumsaidia Fundi Sanifu katika kazi za kiufundi.
29.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliohudhuria na
kufaulu mafunzo ya mwaka
mmoja kutoka
Chuo cha Maji au Chuo chochote kinachitambuliwa na Serikali ambao
wana Cheti cha
ufundi Daraja III (Mitambo Ya Maji (Pampu).
29.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
A kwa mwezi.
30.0 FUNDI SANIFU MSAIDIZI MITAMBO YA MAJI (UMEME) – NAFASI
25
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
30.1 MAJUKUMU YA KAZI
23
· Kufanya kazi kwa kuongozwa na chini ya uangalizi wa
Fundi sanifu aliyesajiliwa ili
aweze;
· Kufunga mfumo wa umeme unaohitajika kwa ajili ya
uendeshaji wa mitambo ya miradi
ya maji na
usafi wa mazingira;
· Kufunga mota na vifaa vingine vya umeme vya aina
mbalimbali vya miradi ya maji na
usafi wa
mazingira;
· Kufanya usafi na ukaguzi wa mfumo wa umeme, mota na
vifaa vingine umeme vya
miradi ya maji
na usafi wa mazingira kwa ajili ya kukidhi uendeshaji nadhifu wa pampu
na kuzuia
uharibifu;
· Kuendesha mitambo inayotumia umeme ya miradi ya maji
na usafi wa mazingira;
· Kufanya matengenezo ya kawaida, ya vipindi na ya
kuzuia uharibifu kwenye mfumo wa
umeme, mota na
vifaa vingine umeme kwa kufuata miongozo ya uendeshaji, na
inapohitajika
kwa dharura.
· Kunakili, kutayarisha, kukusanya, kutunza na
kuziwasilisha takwimu za uendeshaji na
matengenezo ya
mitambo inayotumia umeme ya miradi ya maji na usafi wa mazingira;
· Kumsaidia Fundi Sanifu katika kazi za kiufundi.
30.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliohudhuria na
kufaulu mafunzo ya mwaka
mmoja kutoka
Chuo cha Maji au Chuo chochote kinachitambuliwa na Serikali ambao
wana Cheti cha
ufundi Daraja III (Plants Technician Electrical).
30.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
A kwa mwezi.
31.0 FUNDI SANIFU MSAIDIZI - (ASSISTANT TECHNICIAN WELDING)
NAFASI 5
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
31.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kufanya kazi kwa kuongozwa na chini ya uangalizi wa
Fundi Sanifu aliyesajiliwa ili
aweze;
· Kufunga pampu na injini za aina mbalimbali za miradi
ya maji na usafi wa mazingira;
· Kufanya usafi na ukaguzi wa pampu na injini za miradi
ya maji na usafi wa mazingira
kwa ajili ya
kukidhi uendeshaji nadhifu, endelevu na kuzuia uharibifu;
· Kuhudumia uendeshaji wa pampu na injini za miradi ya
maji;
· Kufanya matengenezo ya kawaida, ya vipindi nay a
kuzuia uharibifu wa pampu na injini
kwa kufuata
miongozo ya uendeshaji na matengenezo na inapohitajika kwa dharura;
· Kunakili, kutayarisha, kukusanya, kutunza na
kuziwasilisha takwimu za uendeshaji na
matengenezo ya
pampu na injini za miradi ya maji;
· Kumsaidia Fundi Sanifu katika kazi za kiufundi.
24
31.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliohudhuria na
kufaulu mafunzo ya mwaka
mmoja kutoka
Chuo cha Maji au Chuo chochote kinachitambuliwa na Serikali ambao
wana Cheti cha
ufundi Daraja III katika fani ya Welding na fiter turner.
31.3 MSHAHARA
· Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
A kwa mwezi.
32.0 MHANDISI DARAJA LA II - UJENZI (ENGINEER GRADE II –
CIVIL) – NAFASI 125
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Katibu Mkuu Wizara ya Maji.
32.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Atafanya kazi chini ya uangalizi wa Mhandisi
aliyesajiliwa (Professional engineer)
na bodi ya
usajili ya Wahandisi ili kupata uzoefu unaotakiwa.
· Kufanya ukaguzi wa Barabara, Madaraja na Majengo
mbalimbali
· Kuchunguza vyanzo vya ajali barabarani
· Kufuatilia utekezaji wa Sheria, Kanuni za ujenzi wa
Barabara na Majengo
· Kutayarisha bajeti ya mwaka ya Ujenzi na matengenezo
ya Barabara, Madaraja
na Majengo
· Kusimamia na kuratibu kazi za Barabara, Madaraja na
Majengo zinazotolewa na
makandarasi
32.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Uhandisi
kutoka Vyuo Vikuu
vinavyotambuliwa
na Serikali katika fani ya Uhandisi Ujenzi.
32.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS E kwa mwezi.
33.0 FUNDI SANIFU MSAIDIZI ( UJENZI – CIVIL TECHNICIAN ) –
NAFASI 36
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Mkurugenzi Mtendaji
Halmashauri ya
Wilaya ya Mkinga.
33.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kufanya kazi za ujenzi wa kuta za nyumba na kupaka
rangi na kufunga mabomba,
· Kuchonga vifaa vya nyumba za serikali ikiwa ni pamoja
na samani “furniture”,
· Kufanya kazi za upimaji ( Survey ) wa barabara,majengo
na mifereji kama
atakavyoelekezwa,
33.2 SIFA ZA MWOMBAJI
25
· Kuajiriwa waliomaliza kidato cha IV katika masomo ya
Sayansi na kufuzu mafunzo ya
mwaka mmoja
katika Fani ya Ufundi wa Ujenzi (Civil Technician ) kutoka katika chuo
kinachotambuliwa
na serikali,
Au
· Kuajiriwa waliomaliza kidato cha IV wenye cheti cha
Majaribio ya ufundi hatua ya II
(Civil
Technician) kutoka chuo cha ufundi katika mojawapo ya fani ya ufundi wa Ujenzi.
33.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS A kwa mwezi.
34.0 FUNDI SANIFU DARAJA II – RAMANI (TECHNICIAN GRADE II -
(MAPPING)
– (NAFASI 1)
Nafasi hii ni
kwa ajili ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Iringa
34.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kushughulikia madaai/malalamiko ya hati za viwanja,
kuweka na kutunza
kumbukumbu
zake
· Kutunza kumbukumbu za “cadastrals surveys” na mahesabu
yake
· Kuandaa nakala za “cadastral site plans”
· Kutunza miongozo ya ramani (maping guides) na viwanja
34.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wenye wahitimu wa kidato cha nne au sita
wenye cheti cha mafunzo ya
ufundi ya
miaka miwili katika fani ya Ramani (Mapping)
34.3 MSHAHARA
· . Kwa kuzingatia Ngazi za mishahara ya Serikali yaani TGS
C kwa mwezi
35.0 MPIGA CHAPA MSAIDIZI (ASSISTANT PRINTER) - NAFASI 10
Nafasi hizi ni
kwa ajili ya Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu.
35.1 MAJUKUMU YA KAZI
· Kukunja karatasi ngumu na kutengeneza ‘covers’ za
vitabu, majarida, madaftari
katika
mahitaji mbalimbali kwa kugandisha, kuweka pamoja au kushona katika
hali
mbalimbali za ubora.
· Kukarabati vitabu, kumbukumbu mbalimbali au majarida
kwa kuyawekea gamba
jipya, au
kurudisha katika hali yake ya mwanzo kutegemea na kifaa hicho
kilivyoharibika.
26
· Kupanga vifaa vilivyotengenezwa katika makasha kwa
vipimo vyake au katika
seti.
· Kuendesha mashine za kukata karatasi/kupiga
Chapa/Mashine za Composing,
kushona au
kugandisha vitabu, majarida, madaftari na vifaa vingine vinavyokuwa
vimetakiwa kwa
mtindo na ubora wake.
· Kupanga karatasi zitakazochapwa kwa hesabu ya kila
kitabu, jarida, daftari na
vinginevyo kwa
kushonwa au kugandishwa pamoja.
35.2 SIFA ZA MWOMBAJI
· Kuajiriwa wahitimu wa Kidato cha IV au VI katika
masomo ya Sayansi, au Sanaa,
wenye Cheti
cha Majaribio ya Ufundi Daraja la I (Trade Test Grade I) katika
Lithography/Composing/Binding/Machine
Minding, au waliohitimu mafunzo ya
miaka miwili
ya Kupiga Chapa.
35.3 MSHAHARA
Kwa kuzingatia
viwango vya Serikali yaani ngazi ya Mshahara TGS.B kwa mwezi
X.M. DAUDI
Katibu
Sekretarieti ya Ajira
katika Utumishi wa Umma.